Recent content by Zeru

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Mkuu sikupata,ila nilifanikiw kuanziaha hardware ndogo ndio mpk sasa nadunda nayo,ila kwa upande wa rangi nachukuwaga kwa catton kampuni ya goldstar
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za nyumbani

    Oh saw saw mkuu
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za nyumbani

    Habarini wadau, Samahani nilikuwa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za majumbani, je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo, na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani. Nipo mkoani Dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
  5. Z

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata misumari ya bati ya rangi kwa bei poa kabisa

    Bei-6500 kwa PC1Location-Dodoma, Michese mtaa wa kona. Pia ukihitaji ya rangi zingine kam blue, gree Namba yangu ni 0653426046 karibun wadau
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Shukran kiongoz aysante sana
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu,sasa nimekuja na idea moja kam mwanzo mlivyonipa ushauri kwa kuwa nina mtaji wa million tatu, nimeona ni bora nispecialize kwenye kufungua duka la vifaa vya umeme pekee sasa nilikuwa naomba je ni vifaa gani natakiwa nianze navyo kuviweka kwa shop yaan n fast moving, pia kwa...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Pia nilikuw natak nichanganye n misumari, binding wire pmj na kanch wire
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Sasa nimekuja na idea moja kamu mwanzo mlivyonipa ushauri kwa kuwa nina mtaji wa million tatu, nimeona ni bora nispecialize kwenye kufungua duka la vifaa vya umeme pekee. Sasa nilikuwa naomba je ni vifaa gani natakiwa nianze navyo kuviweka kwa shop yaani ni fast moving...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Nilikuw natak kubase kwa upande wa gypsum kiongoz yaan niuze powder,board,rangi kam emulsion,fiber tapes na mikanda hivyo tu ndugu yangu
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Mkuu hiy mill 3 n ya mtaji kama mtaji ela sijui ya frem,pmj na issue sijui za lesen nayo namazaga zanga mengine nimeshaitenga kivyake
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya Mkonze, Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma kozi ya civil draught VETA

    ila unaweza kunirekebisha kam naend Ni Ila unaweza kunirekebisha kama naenda opposite
Back
Top Bottom