Recent content by zerothree

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

    asante kwa kunipasia mpira kwenye goli tupu. Unamleta Taha Hussein kama utetezi wa dini, wakati yeye ndiye aliyewaambia kuwa ushairi na baadhi ya simulizi za Quran ni "Fabrications" (Zilimbuniwa)! 📉🚫 1. SHAKA NI JICHO LA AKILI: Taha Hussein alitumia mbinu ya Rene Descartes (Cartesian Doubt)...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

    Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫 📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️‍♂️ Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu: Kati ya KUKARIRI na KUFIKIRI Kwa nini tunabaki nyuma katika Dunia ya teknolojia na ubunifu

    Bro yaani huelewi tukisema mfumo una maana gani Basi hata kwa sisi raia kuna changamoto
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu: Kati ya KUKARIRI na KUFIKIRI Kwa nini tunabaki nyuma katika Dunia ya teknolojia na ubunifu

    Mifumo bro inachangia pia unaweza ukawa na idea Ukaipiga chini kwasababu unaona itakuwa ni msururu mrefu mpaka utimize lengo lako
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu: Kati ya KUKARIRI na KUFIKIRI Kwa nini tunabaki nyuma katika Dunia ya teknolojia na ubunifu

    Na me nimejifokea coz na me nimekariri ufala zaid ya miaka 20
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu: Kati ya KUKARIRI na KUFIKIRI Kwa nini tunabaki nyuma katika Dunia ya teknolojia na ubunifu

    Me pia ni muhanga mkubwa sana wa elimu ya nchi yangu
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Elimu Yetu: Kati ya KUKARIRI na KUFIKIRI Kwa nini tunabaki nyuma katika Dunia ya teknolojia na ubunifu

    Hebu tuache unafiki wa kuitana “wasomi.” Ukweli mchungu ni kwamba, kuanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu, mfumo wetu wa elimu mara nyingi haujengi maarifa ya vitendo wala fikra huru, bali unalenga zaidi kukaririsha kuliko kufundisha kufikiri. 1. Miaka 20 ya Elimu Bila Ujuzi wa Vitendo Kijana...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kitumwa na ujinga wa kukariri: Mbona Japan na Taiwan hawana dhahabu lakini wanatutawala? 🧠⛓️🌍

    Hebu tujipigeni vifua mara 10 huku tukisema kwa sauti kuu: "SISI NI MAFALA NA TUNA ELIMU YA KITUMWA!" 🤡🥊 Miaka 60+ baada ya uhuru, bado tunasoma elimu ya kifala iliyochakaa. Tunasoma masomo 15 kama vile tunataka kuwa "kamusi" zinazotembea, lakini mwisho wa siku hata kutengeneza kijiko cha kulia...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Afrika amkeni: Chuki za kidini ni ufala wa kiwango cha lami!

    Nawaona mnavyochukiana mitaani na hapa JF kisa dini, nacheka sana. Hivi mnatambua ninyi ni MAFALA WASIOJITAMBUA? 😂 Yaani unamchukia ndugu yako, jirani yako, au mbongo mwenzako kisa tu mmoja anamshabikia mzungu fulani (Kristo) na mwingine mwarabu fulani (Mudi)? Nasema tena: WEWE NI FALA MARA...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

    UZunguni dini ni kama utamaduni tu secularism na logic zinatawala Dini Sio msaada wa maisha Na hata huko Uchina wengi ni atheists Nchi zote zilizoendelea atheist ni wengi Kuliko sisi maskini huku tunaomlilia mungu kila siku
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

    Ouky hapo nimekupata Sasa siku nyingine ukiwa hutaki Facts na hoja zenye akili Basi jitahidi usiwe una comment kabisa kwenye content kama hizi kuepusha kujibiwa
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

    Hakuna kufikishana mahakamani Kama ulivocomment Hoja Na me nimejibu hoja Kwahyo its matter of FACTS ONLY 1+1=2 Na sio 6
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

    Bro mabadiliko hayaji na mtu mmja yanakuja na kundi kubwa lenye mindset kali TUmekuwa brainwashed since tuko watoto Mabadiliko yanakuja na mfumo Na sio kumtegemea mungu Ndo kila siku tunawapa madili wachina ambao hawana huyo kristo au mudi wako
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

    Bro, hiyo historia umeifundishwa kanisani au umeisoma kwenye vitabu vya kweli? Sayansi na Logic vilianzia Ugiriki ya Kale (Ancient Greece) na akina Aristotle na Socrates mamia ya miaka kabla hata huyo Yesu wako hajazaliwa. Ukweli ni kwamba Kanisa ndilo lilikuwa adui mkubwa wa sayansi! Walimfunga...
Back
Top Bottom