Recent content by Zeroth

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwa tapeli huyu!

    Poa mkuu usiwaze, lakini ili urenew lain inabidi iwe offline at least siku tatu mfululizo. Lakin hiyo lain bado ipo hewani so inabidi tuiblock kwanza then iwe offline kwa muda huo ndio tuta-renew
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwa tapeli huyu!

    Hakuna siku ambayo JF nimeiona chungu kama hii leo, yani nina machungu ya mama kuibiwa nikaona ni vyema niwashirikishe wana jf wenzangu kwa msaada zaidi but unfortunately naambulia kumtukanisha mama hivhiv yani. Binafsi siwezi matusi na wala majibizano na watu na sijawahi kufanya hivyo hata humu...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwa tapeli huyu!

    Na sasa hivi kuna mtu kamwambia yupo manzese
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kwa tapeli huyu!

    Habar, Wakuu mama yangu aliibiwa simu sikukui ya idd maeneo ya Magomeni ikiwa na laini mbili ya tigo na zantel,tuliwapigia tigo tukawaambia waifungie laini wakakubali lakini hawakufanya hivyo kama walivyotuahidi. Sasa hii leo huyo jamaa amekua akitumia watu wa kwenye majina ya muke kwenye simu...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Shukrani, madini yote haya munayoyashusha nayatafakari kwa kina wakuu asanten san
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Hapana sina biashara nyengine mkuu, nipo napiga kazi tu za kuajiriwa pia sina mpango wa kujenga kwa sasa maana sina pesa. Na nikinunua bodaboda ndani ya mwaka itakua imenirudishia pesa yangu na faida kama ya 1mil tu
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Umenena mkuu asante
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Bei ni nzuri mkuu ila tatizo huko kilipo kiwanja ndio mtihani maana kuna sehemu hazipitik
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Mkuu hili ndilo zingatio langu la kwanza
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Ndugu unaweza nifafanulia kidogo hicho kiwanja kinavyoweza kua regarded as liability
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Wakuu leo nimeenda kukiona kiwanja, Kipo mbande ndanindani huko wanapochimba mchanga na kinaukubwa wa mita 18 kwa 18.pia kipo mbali na barabara yani kutoka mbande ili kufika huko inabidi uchukue bodaboda na bei ni ileile 1.3M. LAKINI NDUGU ZANGU WAKATI WA KURUDI TULIPATA AJALI KIDOGO YA...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Ngojea kesho niende nitaleta mrejesho
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Ngojea nitafuatilia kwa undani zaidi,japo kua ni rafiki yangu wa karibu simuamini sana pia hela yangu nilivyoipata kwa tabu siwezi itoa kizembezembe namna hiyo
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Poa mkuu nitazingatia kesho mapema tu naenda kukiona na watu wangu wazoefu wa hizi habari
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

    Asante sana kwa ushaur
Back
Top Bottom