Recent content by zeromagic

  1. zeromagic

    Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

    shukran sana boss hivi hizi channels 2.1, 5.1 na 7.1 tofauti yake ni nn?
  2. zeromagic

    Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

    Habari Jamii Forums nauliza, je ni subwoofer gani ina base kubwa na bei yake ni ya kawaida yaani katikati ya laki 1 mpaka laki mbili. isizidi laki mbili.
  3. zeromagic

    Phone4Sale Tablet Samsung tab A 9.7’ & S pen

    used in excellent condition 16GB storage RAM 2GB Screen size 9.7 inch colour blue operating system android bei ni Tshs. 680,000/= napatikana mwanza phone number 068 619 4335, ipo whatsapp pia
  4. zeromagic

    INAUZWA Nauza Printer Epson L805 used

    kasi ya kawaida siwezi sema sekunde ngapi kwasababu kasi inategemea unaprint nini? maneno au picha
  5. zeromagic

    INAUZWA Nauza Printer Epson L805 used

    haina shida yoyote
  6. zeromagic

    INAUZWA Nauza Printer Epson L805 used

    [IMEUZWA] IMEUZWA [IMEUZWA] habari jamii forum nauza printer aina ya epson L805 used inaprint picha za rangi na karatasi za kawaida inaprint cd na pvc cards pia imetumika mwaka mmoja ninapatikana mwanza unaweza kunicheki kwa namba ya simu 0686194335 inapatikana whatsapp pia bei ni...
  7. zeromagic

    House4Rent Apartment inapangishwa Mwanza

    [emoji23][emoji23] milion
  8. zeromagic

    House4Rent Apartment inapangishwa Mwanza

    kiseke-greenview karibia na lumala
  9. zeromagic

    House4Rent Apartment inapangishwa Mwanza

    Apartment ina vyumba viwili, sebule na jiko. Chumba kimoja ni master. Iko kwenye compound ya nyumba 3. Kuna geti na parking. Barabara inapitika. Umeme unajitegemea. Kuna matank ya kutunza maji, ikitokea maji yamekatika. Ipo maeneo ya greenview-kiseke, Mwanza. Kodi 2.5M kwa mwaka...
  10. zeromagic

    Ni jinsi gani naweza kumtafuta mtu alipo ikiwa ninachojua ni jina lake tu?

    yaan nilikua naongea nae wasap tu kwa namba ya kichina
  11. zeromagic

    Ni jinsi gani naweza kumtafuta mtu alipo ikiwa ninachojua ni jina lake tu?

    yaani facebook yake haitumii ina friends wachache sana, inaonekana haijawa active kwa mda mrefu
Back
Top Bottom