Hakuna kitu kibaya kama unania ya kuoa halafu uanze kufukua makaburi hauoi kabisaa, sasa kama mpaka mwanajeshi ambaye ananilinda mimi na watoto naye watanilia si bora kuoa mfanyakazi wa mochwari tu
Nilikuwaga na ndoto za kuwapata hawa lakini mbona tunakatishana tamaa, kwahiyo tuseme kweli huwa hawana hisia vifuani?, nimeshawahi kuwa na demu amenyonyesha mtoto mmoja yaani hata ufanyeje ni kama unajisumbua tu, yaani utapapasa, utanyonya, utabinya binya lakini wapi, mpaka nikawa namuuliza...
Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu