Recent content by Zemunda

  1. Z

    Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

    Inabidi kwenye mazungumzo haya awe anaenda na wewe wajumbe wengine toka CUF siyo kwenda yeye mwenyewe
  2. Z

    Mkasa wangu

    Mmh sijui ni hypothetical story au ni real lakini yote kwa yote hata kabla hujaiendeleza huyo bidada ni wa kupigwa chini ni pepo maana waweza kuamua kukaa naye baada ya mwezi mmoja tu anakuibulia mengine
  3. Z

    Aliyeshindwa ubunge kuvunja chungu

    Hiyo itakuwa ni Arusha ndiyo wana kawaida ya kuvunja vyungu na avunje tu maana kulikuwa hakuna namna nyingine bali kupigwa tu
  4. Z

    Yamenifika hapa! Nimeenda nje ya nchi kusoma, kanitumia ujumbe kapenda mwingine

    Hilo ni jaguar la mjini hilo achana nalo utapoteza muda wako bure!
  5. Z

    Nilichokifanya baada ya kutendwa

    Kujiona mzima ni tofauti na kujihakikishia afya yako dogo
  6. Z

    Nilichokifanya baada ya kutendwa

    Umeshapima ngoma mkuu?
  7. Z

    Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

    Mkuu piga chini huyo si mwanamke muaminifu atakuja kukletea maradhi au hata kuja kupigwa maana siku ukimtembelea Morogoro jamaa yake huyo anaweza ku organize rafiki zake waje kukuvamia.Ninajua una uchungu sana wa kumsomesha na gharama zingine nyingi lakini hayo hesabu ni matumizi yaliyopota bila...
  8. Z

    Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

    Aisee bado hujapaa tu maana kwa ku post hii thread ni sawa umechukua mbuzi na kwenda kumkabidhi chui akutunzie mbuzi wako definitely utamkuta mbuzi keshaliwa!
  9. Z

    Sakata la mabehewa mabovu: Vigogo wa TRL kufikishwa Mahakamani

    Mmh mbona sakata hili liligundulika mapema sana kulikoni hatua zichukuliwe sasa?
  10. Z

    Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

    Believe me hilo jambo halitawezekana
  11. Z

    Mpenzi wangu ananing'ata

    Pole sana kazi unayo mtafutie mtaalamu amfanyie ushauri nasaha mambo ya kung'atana hayafai kupeana majeraha ni nomaaa
Back
Top Bottom