Recent content by zegelo

  1. Z

    Maajabu mengine: Walimu walazimishwa kwenda kumuaga Kikwete Uwanja wa Taifa

    Hiyo amri ni batili kwa sababu kama ni issue ya kumuuaga rais si waende wanaotaka kumuuga ,
  2. Z

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Kuweni wabunifu na si kulalamikia kila anachofanya Lowassa,yeye anaomba nafasi kubwa kabisa ya uongozi katika Taifa ,kwa hiyo ni lazima ayajue matatizo na changamoto katika ngazi zote hasa zile za wanyonge. Sasa ninyi mnaolalama na kuuliza ni kwa nini hakufanya hivyo wakati akiwa waziri mkuu...
  3. Z

    Mpasuko Tume ya Taifa ya Uchaguzi vs Wakurugenzi

    Utungu wa mpango wa bao la mkono kupitia tume inawezekana ulianza alipobadilishwa mkurugenzi wa tume ghafla katika kipindi cha miezi mitatu kabla ya uchaguzi. Ni muhimu kwa usalama wa nchi kukubaliana na pendekezo la kutangaza matokeo kama yatakavyokuwa katika kila ngazi bila kuchelewesha. Mwaka...
Back
Top Bottom