Hivi hawa ccm wanataka kutufanya sisi wote ni wajinga ,wakubari kuwa Tanzania ya miaka ya 8o imeisha yaleo tofauti na yakwao walipo kuwa wanaweka picha moja ya mtu wanemtaka na kivuli, leo sio watu wanabadilika kimsingi hatukubali hadi hizo kula zichomwe mbele za watu wote tuone watasababisha...
Hivi tu matumbo joto ccm vinaja wanao maliza vyuok ibao mtaani hawapati kazi kisa eti wengi wapo Chadema, tutafika tu labda ccm mbadili mfumo wa uongozi na malipo yote ni hapahapa duniani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.