Recent content by Zeddy72

  1. Zeddy72

    JamiiForums Tanzania Daladala

    Nataka ikae Dar kwa ajiti ya kubeba abiria hapa hapa twn..
  2. Zeddy72

    JamiiForums Tanzania Daladala

    Habari zenu wana jamvi, Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje. Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo. Faida na hasara Pia per day tajiri anapewa ngapi?
  3. Zeddy72

  4. Zeddy72

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Yes nafahamu biashara zinahitaji uangalizi,
  5. Zeddy72

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Kilimo imekaaje mzee nipe ufafanuzi hapo… Ufukaji siko interested.
  6. Zeddy72

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Habari zenu wakuu, Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank). Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji mda wote eneo la kazi? Changamoto na faida zake. Asanteni.
Back
Top Bottom