Kuna matajiri hawamjui mganga wala ushirikina..pili kodi ni unyonyaji uliokubuhu mtu unalipa katwa kodi karibia kila mahali kwa bidhaa moja tu hivyo kukwepa kodi sioni kama ni dhambi.Kodi zinalipwa ila sio kwa asilimia mia sababu inaumiza
Watu wana hustle kitaa bila ya ushirikina wala kumuibia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.