Hapana mzee inbox ningemtumia picha za posters zetu zenye bidhaa na specifications wala asiwe na wasiwasi we are very serious na tunachofanya wala hatuna longolongo hata kidogo
OK bei hizi hapa
HP and dell desktop i5 500 4 GB sh 500000
HP desktop DualC 250 2gb tsh 250000
HP desktop dualc 250 4Gb tsh 300000
Hp desktop dual c 500 4gb tsh 350000
Dell CPU HDD 250 ram 2 GB 250000
We are the company bro vitu vyetu vya uhakika kama umezoea kutapeli watu ni wewe. Karibuni wadau kwa kompyuta aina zote na accessories na spares zake zote
Kama Uzi unavyojieleza karibuni tushare experience zetu za pale shule kongwe na pendwa kwiro uboizin lengo ni kufahamiana, kukumbushana changamoto za pale na mazuri tuliyoyapata
Uzi maalum kwa waliowah kusoma wanaosoma na walioomba hii kozi bsc food science and technology SUA and Udsm tuelezane experience changamoto zake katika soko LA ajira na kujiajiri pamoja na kuwashaur wadogo zetu waliochagua bila kuujua undani wa kozi hii karibuni wadau
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.