Recent content by Ze Chinji

  1. Z

    Mapenzi ya siku hizi bwana

    Mapenzi ya siku hizi yana mtazamo wa tofauti na yale ya zamani. Mapenzi ya zamani mtu alikuwa yuko radhi kufanya lolote kuhakikisha anamuonesha mapenzi ya kweli yule mpenzi wake kwa hali yoyote nikimaanisha maskini au tajiri lakini kwa sasa ni tofauti kabisa. Mwanaume au mwanamke kwa...
  2. Z

    habari

    mambo vp wanajamiiforums Naomba mnipokee mimi ni new member!
Back
Top Bottom