Jamani Inakuaje Nalogin Kwenye Acount ya loan board inagoma kufunguka na siambiwi kama pasword au user name sio sahihi apo tatzo ni nn... msaada jaman nimekwama kwa hili
Jamani Wakati Najijasiri Na Loan Board Form Nmekosea Mwaka wa kumaliza kidato cha nne badala ya 2012 nikaandika 2010.. na ile transaction ID nimeshaituma Tyr Na Limetokea ina la mtu mwingine... naomba yeyote mwenye namba za loand board tofauti na zile walizoziweka anisaidie...
hapo kikubwa cha kufanya, fuatilia sua kwanza kama jina lako waliltoa tena kwa mara ya pili, na ikishindikana wafate tcu wenyewe ongea nao watakuelewa, kwa kufanya hvyo utafanikisha kaka.
kaka eeh, kuhusu hlo suala cjafahamu kwa sasa ila mwanzoni ilikuwa hv, ilionekana agr b. ilchukua idadai kubwa ya wanafunzi ndipo chuo kikaamua kurudisha baadh ya majina tcu kwa ajili ya uteuz mpya, na kuna jamaa angu m1 alipangiwa hyo course lakini kwa sasa kapangwa civil mist. So cjajua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.