Recent content by Zayuni

  1. Zayuni

    Je, una maoni gani juu ya serikali ya Rais Magufuli

    Mambo 10 ya Msingi ambayo Rais Magufuli ameshindwa kuyafanya tangu aingie madarakani. 1 Mikataba yote ya Rasilimali za Nchi - PSAs Kwa Mafuta na Gesi Asilia na MDAs Kwa Madini bado ni Siri na sio Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu ambaye kaonyesha hata nia ya kutazama upya mikataba hii na...
  2. Zayuni

    Nikama vile shetani ameshika Biblia na pambio anawaimbia

    Uko sahihi aise upon vzuri
  3. Zayuni

    Nikama vile shetani ameshika Biblia na pambio anawaimbia

    Huko sahihi kabsa Nginana, ccm Ndio iliyotufikisha hapa, lakini tena ndio iliyoanza kusafisha madudu take ...sifa zinatoka wapi sasa..mfano mtoto kupelekwa shule na mzazi sio jambo la hajabu coz ni wajibu wake ..kuna mambo serikari inafanya wajibu wake sifa zinatoka wapi kwani mlitegemea...
  4. Zayuni

    Nikama vile shetani ameshika Biblia na pambio anawaimbia

    Rashind C Allan P Nikama vile shetani ameshika Biblia na pambio anawaimbia machozi pia anawalilia ,maneno yake yanaingia gafla mnaanza kumsifia kisha namagoti mnapigia na kuanza kumsifia na kumsujudia, mmekosea labda hamjui wala hamfaham nini kitawatokea....... sikuona haja ya kikao chako cha...
Back
Top Bottom