Zayuni
New Member
- Mar 31, 2015
- 4
- 3
Rashind C
Allan P
Nikama vile shetani
ameshika Biblia na pambio anawaimbia
machozi pia anawalilia ,maneno yake yanaingia
gafla mnaanza kumsifia kisha namagoti
mnapigia na kuanza kumsifia na kumsujudia,
mmekosea labda hamjui wala hamfaham nini
kitawatokea.......
sikuona haja ya kikao chako
cha jana na wazeeee wa Dar es Salaam maana
siuoni umuhimu wa kuwa na shughuli rasmi
kueleza yale mliyotenda siku mia moja mkiwa
madarakani.
Na au kama ni muhimu sana kuelezea siku mia
moja mbona hotuba ya balozi Ombeni Sefue siku
ya majuz
ilimaliza yote, na ilisema kwa ustadi mno kila
mlichofanya na msimamo wenu wa kuendelea
kuyafanya zaidi, sasa leo tena kikao cha nini?
Nina mashaka kikao cha Leo ulisukumwa kwa
kupambwa, ukaambiwa watu wanapenda sana
kukusikia ukiwakoromea watumishi wa umma na
hasa kale kamsemo kako ka 'Nitarara nao
mberee' jihadhari wenzako ilikua hivyo pia.
Mgema akisifiwa........
Na basi mie nliposikia kikao, nikatuliza nafsi
nkasema nisipaparike haraka, maana huenda lipo
jipya waja lisema, na sikutaraji tena simulizi za
majipu na mikwara kwa watumishi wa umma
maana Ombeni, Majaliwa na siku hizi kila mtu
anasema na anampiga mkwara alo chini yake.
Kwa maana fupi somo la majipu na uwajibikaji
limeanza kueleweka taratibu.
Laahaulaa!!!!! Kutahayari, yale yale ya majipu,
kma ulivyosema Dodoma, Morogoro, Singida na
Arusha. Mzee vipi hakuna kingine kwani?
Rais wangu mpendwa, watu sasa majipu na
matambazi tumeelewa msimamo wako na karibu
wote serikalini wanajua sasa nilitaraji mapya
yahusuyo mkate.
Nlijua leo umekuja na mpango mpya wa dira ya
Serikali yako labda, au umekuja kutangaza kuwa
baada ya siku mia moja umejiridhisha kuwa
azimio la Arusha halikuwa na tabu hivyo
unanuwia kulirejesha na lianze kutumika.
Au umekuja eleza itikadi na falsafa ya siasa na
uchumi ya Serikali yako kwamba u mjamaa,
bepari au chotara, lakini hakuna ulosema.
Mzee simulizi za majipu zitaisha, na zikiisha watu
wataanza kuomba mkate, watataka kusikia
mbona chumvi na sukari ni ghali sana bado?
Na mkate wa umma hauwezi moja kwa moja
kutatuliwa pekee na kutumbua majipu au
kuwatimua Marc na Ma DC, bali kwa mipango
inayofuata itikadi fulani na falsafa ndivyo kote
duniani wanavyofanya.
Unatuambia viwanda utajenga, sawa, je kwa
itikadi ipi ya Serikali kuvianzisha na kuvimiliki au
sekta binafsi ijenge utoze kodi au mtashirkiana
wote sekta binafsi na serikali?
Pia utuambie vikishajengwa vitazalisha nini na
tumbaku iko Hoi, mkonge watu ndo mapori ya
valentine, chai inafuga nyoka, mpunga wanalima
heka tu au viwanda vitasindika miguu ya Kuku?
Tulitaka kusikia, tutategemea wamasai kutufugia
ng'ombe au tutarejesha ranchi za taifa, na
viwanda vyake vya usindikaji chini ya Serikali?
Utuambie kinagaubaga, wananchi watashirki vipi
katika uzalishaji maana wote hawatoshi
viwandani na ofisini, wataanzisha vikundi vipi?
Watawezeshwaje? Na wakizalisha vyote vya
vijijini na viwandani soko liko wapi? Tulitaka sikia
leo umeamua kupiga marufuku ungizwaji wa
bidhaa zote zinazoweza kuzalishwa nchini ila
tuvilinde viwanda vichache vilivyopo.
Mpango wa kila hotuba kutangaza dau nono la
papo hapo kama bahati nasibu ya Airtel hatutaki
tena. Tuambie tutatengeneza vipi za kwetu
kwenye kijiji, mtaa, kata, wilaya na Mkoa.
Kama unaona za hazina hazitoshi ungefungua
akaunti ya pamoja ya taifa kila mwenye senti
aweke tukafungue mashmaba makubwa na vituo
vya huduma tuneemeke.
Mzee jipange upya, tangaza sera na itikadi, njoo
na dira yako ya utawala, tushirkishe tushirki
kama usafi wa uhuru kazi si yako mwenyewe ni
yetu sote. Maana majipu na tambazi yakiisha
tutakudai mkate.