Recent content by zaytoonabdallah

  1. zaytoonabdallah

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

    Makonda mimi namjua mazuri yake tu. Kwanza juzi alitwambia tupeleke cv zetu vijana ambao hatuna ajira.. na pia tulionana nae pale leaders akatuahidi mambo mazuri akatupa mawazo mazuri ambayo kwa sasa ndo tunayafanyia kazi na tarehe 30 tunakwenda tena kuonana nae tukiwa tayari tumeyafanyia kazi...
Back
Top Bottom