Recent content by Zay hingi

  1. Z

    Ajira Portal

    Jaman naomba msaada nimepata changamoto ajira portal Kwenye academic Qualification Kuna cheti nimekosea kuattach ila komesaviwa Sasa kinaonekana kwenye saved academic Qualification ,nataka kukitoa ila hakuna option ya delete ,Kuna edit na view. Nifanye nini ili kudelete?
  2. Z

    Baada ya maombi(application) walimu tutaajiriwa lini?

    Samahan naomba namba yako nikupigie ili unielekeze vizuri km umemaliza kuapply mana mi nimeshindwa kulog in kabisa na kila nikijaribu kuchange pass word pia inanikatalia
  3. Z

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Jaman naomba msaada mi kila nikijaribu kulogin kwa user name nilotumia mwaka jana na password inaniambia bad credential,,nimejaribu kuchange password pia imeshindikana,kufungua ac mpya nayo imeshindikana naom anaefah jonsi ya kutatua hili tatizo anisaidie
Back
Top Bottom