Recent content by zawadi special

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

    Kosa la uhaini ni kifo,lisu mwenyewe alisema kama amekutwa na hatia anyongwe kama hana hatia aachiwe huru,kuna two options ni either kunyongwa au kuachiwa huru,yote na yote namuombea awe huru,amepitia mengi sana tundu lisu.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    Mimi ni mrangi kabisa,siyo kweli ety warang ndo malaya siyo kweli,wapo baadhi malaya lakini siyo wote,halafu makabila mengi tu sasa hivi wamekuwa malaya,kwahiyo hoja yako haina mantiki.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Kaa kwa kutulia basi.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Achana na uislamu Wewe fata imani yako,kwani umelazimishwa kuwa muislam.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    Siyo kweli,umalaya ni kila kabila.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    Mwanri kile mzm
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Upo sahihi sana mtoa mada chuo ingekuwa sahihi sana.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Human Nature

    Ni kweli mtoa mada kuna vitu hutokea,huwezi kuvizuia e,g kupenda.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    TANESCO ni wezi,kifaa hicho kidogo laki na nusu afu kuunganisha umeme shilingi ngapi?
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

    Daah dunia imebadilika,watoto wana wakati mgumu sana,mimi nikiona mwanaume amekuwa shoga najisikia vibaya.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

    Dah kweli,sisi wengine tunazitamani hizo kazi.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani ambao hata ukipata ajira huwezi kwenda?

    Huyo jamaa,atajuta badae.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Katiba waliyoivuruga UKAWA ilikuwa na sifa hizi hapa

    Yaani wewe jamaa daah uchawa.
Back
Top Bottom