Habari za muda huu wakuu,
Naomba mnisaidie kujibu swali tajwa hapo juu, ipi ni kozi nzuri kusoma Kati ya hizo kwenye nyanja ya kuajiriwa pamoja na kuajiriwa.
Japo lengo langu kubwa ni kujiajiri.
Karibuni kwa michango yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.