Recent content by Zash love

  1. Zash love

    JamiiForums Tanzania Jokofu (Friji) langu limezimika ghafla

    Hello wazima Frnd’s friji langu sijui linashida gani linawaka tu na kuunguluma lakini halipati ubaridi nimemwita amejaza lakini likaaza kufanya kazi kufika hasubuh tatizo limerudi nishauri ata nitengeneze mwenyew
Back
Top Bottom