Tatizo wadada hutumia moyo kupenda!!
Tumia akili zaidi wala haita umia!!!
Kama unataka kitu kwake hakikisha unapata!!
Siku zote weka mambo ya maendeleo mbele!!
Mwenyewe ata salute!!!
Sio kila saa mara club o beach, atakudharau
Vitaje mara chache ili kufurahia maisha!!
Hakikisha unapata...
pole kwa ulio pitia!
Ila ukitaka kumsaidia ndugu usimkaribishe kwako!
Naongea out of experience!
Ungemuuliza anataka kufanya nn na umpe kamtaji kidogo aanzi hapo!
zaid ya yote ni Dume!!!
mwambie hutaki arudi kwako ila mumeo sasa atahisi ulio kuwa wafanya ni kweli!!!!
Msaidie huko huko aliko...
Nakosa hata cha ku comment!!
Unafungua thread huku umepanga kichwani cha ku comment kwa kusoma heading tuu, ila ukisoma content unakua kama paka alie mwangiwa maji!!!
Kwa kweli mpaka nachukia, mpaka sometime unaona uvivu wa kufungua jf!!
Tubadilike wapendwa.
Assante sana mleta uziiiiii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.