Recent content by ZanziDar

  1. Z

    M Pesa nirudishieni basi pesa zangu

    Mimi kichwa kinauma, nimetransfer pesa kny account yangu. Leo siku ya 4 haijaingia kny account yangu na kny M-pesa account wameshaikata. Kwa kuwa limenitokea Mara Mbili ndani ya wiki 2...nimekoma kurudia hii huduma. Nimepata hasara kubwa sana
Back
Top Bottom