Omereyo Zanzibar ina big historia ukilinganisha na Tanganyika yenu. Tukiwa na mamlaka yetu kamili tutakua na maendeleo makubwa. lakini sijui kwa nini mnatung'ang'ania sijui mnataka nini.
Mzee wa ngano sisi wanzibar ndio tunvyotaka muungano ufe tuuu hatuoni maslahi yoyote ya muungano, mwambieni baba yenu warioba hatutaki tena kutawaliwa kila chenye mwanzo kina mwisho uyo muanzilishi wa muungano nyerere, kafikia mwisho wake what about muungano, uvunjwe kila mtu awe na serikali...
tunatakaa zanzibar huruuu sio kupangiwa njooo zanzibar nakualika majirani zangu wote ni wandengereko i grow up with them idont call them watanganyika najua wao ni wazanzibar kma mimi. tunatakaaa zanzibar yetuuuuuuuu. hatusikii kitu wala hatutishikiii tena we had enough .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.