Galasa hilo hamna kitu.Huyu Jamaa timu aliyotoka haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya kimataifa na hata kubeba kombe la ligi kuu yao. Hapo Makolo wameingizwa choo Cha like kisichokuwa na maji wala Toilet pepa.Wameuziwa Mbuzi kwenye gunia.Niseme wazi tu kwa hatua ambayo Simba ilifikia siyo ya...
Simba kazi mnayo mnamuogopa sana GS, sisi tutampa huyo huyo urais Injinia Hersi Saidi kiboko ya Makolo . Huyu GSM siyo bahili kama Hindi ndiyo maana Makolo wanamgwaya na kumuhofia sana.
Yanga ina kikosi imara na bado unafanya usajili wa maana GSM hawataki mchezo mchezo ni Back to Back mpaka...
Njaa mbaya sana ulichokiandika hakifanani na Akili uliyonayo.Viposho vya Barbara vimechetua Akili yako.Mtake msitake Morrison atachezea Yanga na atawafunga goli zuri na litawakera sana mpaka mkome kudadadeki zenu.
Umbeya mwingine bwana yani sielewi Makolo mnahangaika nn na usajili wa Yanga. Huyu Kambole awe mzuri au mbaya anakuhusu nn wewe? Acheni umbeya subiri ligi ianze ndiyo utamjua vizuri hata Saido Ntibazonkiza na wengineo wote mliwajua vizuri baada ya kuja Yanga.Tunakumbuka msimu huu mlibeza sana...
Kolo Bwana.Unapika vipi Taarifa ambazo serikali wanakata Kodi.Hiyo siyo Siri ukitaka nenda kwenye mifumo ya serikali utapata Taarifa kamili.Acha uzushi na kudanganya watu.Kelele za ubingwa mmeacha baada ya kuona mmelala dolo mmeamua kuamishia umbeya kwenye mambo yenye data na ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.