Recent content by Zamtanga Gama

  1. Z

    Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

    Dauda anajua kiukwel ila wabongo tuna Mapenzi unataka asifie unachokipenda au unavyoamini dauda bonge la mchambuzi kibongobongo.
  2. Z

    Msaada wa kutatua tatizo la not registered on network (emerngency call only )on samsung a8

    Zipo poa na tigo inasoma fresh hata nikiweka voda na hii airtel co kama haisomi kabisa kuna muda inakuja na kuondoka ila ndo ikiondoka ndo imeonfoka na data natumia ya hii airtel ambayo inayoandika emergency call only.
  3. Z

    Msaada wa kutatua tatizo la not registered on network (emerngency call only )on samsung a8

    Ipo na nikiweka nikiiregistry inakubali na data fresh yaan natumia ya airtel hiyo hiyo ila cpig wala cpigiw na kuweka vocha mpk niweke cmu nyingne
  4. Z

    Msaada wa kutatua tatizo la not registered on network (emerngency call only )on samsung a8

    Yaan nikiweka line ya airtel ndo inazngua tu nikibadilisha upande wwte wa line inazngua ila lkn ya tigo na voda sehemu zote zinasoma nikijaribu airtel ndo inazngua some time inasoma kama sekunde 50 tu baada ya hapo muda wote...Nikijarbu kwenye network operator ina registry vzr data zinasoma na...
Back
Top Bottom