Napata meseg hii wakat wa kuistal Bluestacks
"Mmm.. it seems Bluestacks App player couldn't be Installed on this computer. we'd love to fix the problem- can you help us? search your computer for file:
c:\users\Inno\AppData\Local\Temp\MSIe8344.LOG
and email it to us support@bluestacks.com...
changamoto yangu ni Natumia vlc media player kwenye pc,nikiweka nyimbo kwenye flash au nikiban kwenye dvd au cd nyimbo chache ndizo zinacheza kwenye deck zingine zinaleta mesegi unsupported format sijaelewa hapo tatizo nn.
:washing:wadau ninaomba ushauri kuhusu web browser ninayotumia ni mozila Firefox,inanisumbua kutokana na ukifungua email inakataa kusain out hata facebook ni hivyo hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.