Watu Kama nyinyi wapo kila secta kwahiyo sikushangai Kama kusoma Marian ndo urud mtaan bila ajira et si chuo wapo waloosoma ud na wapo mtaan hawana mbele wala nyuma nacho si chuo?! Acha fyongo zako
Unaanzaje kutemwa wakat kwanza unajaza tena coz zaid ya moja au mbili pili capacity ya kila chuo ulichojaza kuna zaid ya nafas labda 50 au zaidi?!
Chamsingi hapo tcu wanahitaj walimu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.