Recent content by Zakayo Chacha Wangwe

  1. Zakayo Chacha Wangwe

    Rest in peace comrade Chacha Wangwe

    CHACHA WANGWE/ CHACHA RASTA Ni miaka 6 imepita tokea ulipotutoka usiku ule wa tarehe 28/7/2008. Bado jina lako linakumbukwa na watanzania wengi ilihali ipo wazi kuwa, wabunge waliotukoka katika bunge lile la tisa walikuwa wengi lakini jina lako ni miongoni mwa majina machache ambayo bado yako...
  2. Zakayo Chacha Wangwe

    Rest in peace comrade Chacha Wangwe

    KUMBUKUMBU YA HAYATI CHACHA WANGWE Ni miaka sita(6) sasa tangu alipotutoka aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Tarime,Diwani wa kata ya Tarime Mjini, Waziri kivuli wa Maji, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Baba yetu mpendwa Hayati Chacha Zakayo Wangwe kwa...
  3. Zakayo Chacha Wangwe

    Kimenuka: Bundi wa mgogoro atua chama cha ACT-Tanzania, sasa wawa vipande vipande

    Kazi mnayo ACT,mbona mnamtenga mwenzenu mapema hivi? amekwisha maliza deal yenu ya usajili mpeni chake akasajili chama kingine tena.
Back
Top Bottom