Recent content by Zakat

  1. Zakat

    Video: Msaidizi wa Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo azimia na kuanguka jukwaani wakati kiongozi huyo akiwa anahutubia

    Huko kwa wenzetu ulinzi wao ni mara mia moja ya ulinzi wetu..
  2. Zakat

    Responded Chuo cha Ustawi wa Jamii: Wanafunzi wanachagua wenyewe kusoma asubuhi au Mchana, tunawashauri wakae karibu na Chuo

    Daah ndugu yangu.. kweli ww sijui unatumia nini kuwaza.. nahisi utakuwa mpagani labda.. ama tu unachuki na waislam.. kila mmoja ana haki ya kuabudu chochote na yeyote.. na uhuru huo hauwez kutufarakanisha kwa lolote.. kwo wakivaa hijabu ndo vita ama🤣🤣🤣🤣 muislamu kumvua hijabu yake ni...
  3. Zakat

    KERO Responded Hatari kwa usalama wa wanafunzi chuo cha Ustawi—DSM: Ratiba ya masomo hadi saa 4 usiku

    Nimewahi kusoma kabla chuo hiko. Sio kana kwamba ratiba inaisha usiku bali ni maamuzi ya mwanafunzi mwenyewe kusoma asubuhi ama usiku.. Ratiba hiyo iliweka ili kusave wale wenye kazi zao mchana au majukum mbal mbal nao waweze kupata haki ya kusoma.. Ikiwa mtu angekuwa na tatzo hilo basi...
Back
Top Bottom