makufuli alipotangazwa kupeperusha bendera ya kijanini alisema hivi sasa wapinzani huko walipo matumbo yanawacheza.Lumumba tujuzeni hali ya dalali wa....ikoje baada ya kamanda EL kuchukua form ya urais kupitia ukawa?MUNGU IBARIKI UKAWA.
wewe acha kukariri tanzania ya leo watu wake wameamka tofauti na zamani.Afu ujasili wa kusema ccm itashinda kwa kishindo unaupata wapi,kweli magamba mmepagawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.