Kabla ya kuanza biashara, ni muhimu kuchagua muundo unaofaa malengo yako. Muundo wa biashara unaathiri usimamizi, uwajibikaji, ulipaji kodi & ukuaji wa biashara.
Zifuatazo ni aina kuu za miundo ya biashara;
1. BIASHARA YA MTU MMOJA (SOLE PROPRIETOR) - Ni biashara inayomilikiwa na kuendeshwa na...
Elimu ya sheria: Kuhusu
namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria.
Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi:
1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani.
2: Chagua...
Elimu ya sheria kuhusu usajili wa Makampuni nchini Tanzania.
(Procedures for the registration of companies, costs for registration and things to take into account before and after registration of a company in Tanzania).
Mwandishi: ZECHARIAH WAKILI MSOMI
(MWANASHERIA)
(0612275246 📞)...
WAKILI MFANYA BIASHARA - lengo lake kuu ni kumsaidia mteja wake kushinda kesi, anatumia udhaifu wa sheria au mianya (loop holes) ya sheria, ujanja ujanja na mbinu mbalimbali za kisheria kumsaidia mteja wake kukwepa haki.
Anatumia sheria vibaya na hata kutoa hoja za uongo kupotosha Mahakama kwa...
Ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) - huu ni ushahidi ambao hautoi uthibitisho wa moja kwa moja wa ukweli wa jambo fulani, bali unategemea mazingira yanayozunguka tukio husika ili kutoa hitimisho.
Ushahidi wa kimazingira mara nyingi hutegemea matendo ya mtuhumiwa na mazingira ya...
Jinsi ya kusajili kampuni, nyaraka zinazotakiwa, gharama za usajili, vigezo na mambo ya kuzingatia kabla na baada ya kusajili kampuni nchini Tanzania
(Procedures for the registration of companies, costs for registration and things to take into account before and after registration of a company...
Sababu ya makosa ya jinai ambayo yanatakiwa kusikilizwa Mahakama Kuu kupitia kwanza kwenye Mahakama ya chini ni utaratibu wa kisheria unaitwa COMMITTAL PROCEEDINGS (MWENENDO KABIDHI).
Inafanyika kwa makosa yote ambayo yanatakiwa kusikilizwa na Mahakama Kuu.
Ukitaka kuyajua hayo makosa soma...
Sababu ya makosa ya jinai ambayo yanatakiwa kusikilizwa Mahakama Kuu kupitia kwanza kwenye Mahakama ya chini ni utaratibu wa kisheria unaitwa COMMITTAL PROCEEDINGS (MWENENDO KABIDHI).
Inafanyika kwa makosa yote ambayo yanatakiwa kusikilizwa na Mahakama Kuu.
Ukitaka kuyajua hayo makosa soma...
Inategemeana na kesi, mfano ni kesi ya jinai au ni kesi ya madai?
Kama ni kesi ya madai (civil case) hutakiwi kwenda polisi kwa sababu polisi hawahusiki na kesi za madai wala hawaruhusiwi kumkamata mtu kwa kosa la madai (Ingawa in practice wanafanya hivyo lakini sio sahihi). Badala yake nenda...
Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
Unapoandaa affidavit au kiapo unatakiwa kuapa juu ya mambo ambayo yako kwenye ufahamu wako binafsi tu. Soma Order XIX rule 3(1) Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (CPC) inasema, "#Affidavits_shall_be_confined_to_such_facts_as_the_deponent_is_able_of_his_own_knowledge_to_prove..." Hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.