Recent content by zainabyon

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji mdada wa cofee shop

    acha porojo huna nia y kunsaidia ww
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji mdada wa cofee shop

    hahahaha wateja wanaangalia sura kakwambia nan
  3. Z

    JamiiForums Tanzania nisaidieni nipate kazi jaman maisha magumu

    nampataje excel npe contact
  4. Z

    JamiiForums Tanzania nisaidieni nipate kazi jaman maisha magumu

    nmefanya kaz sehem nyng nyng kwny coffee shop,madukan,saluni za aina zote nk
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji mdada wa cofee shop

    maish n magmu so mshahra wowote napokea ila unaolngna na kaz na kma ch chn n elfu sabin
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji mdada wa cofee shop

    miaka 22 cna mume wala mtt naish kwangu
  7. Z

    JamiiForums Tanzania nisaidieni nipate kazi jaman maisha magumu

    mimi nina elimu y kidato cha sita nawaomba wana jamii mnisaidie niweze kupata kibarua kama kuuza duka,kuhudumia coffee shop,supermarket please naomba tusaidiane kulijenga taifa
  8. Z

    JamiiForums Tanzania supermarket

    sasa una apply au inakuwaje wakubwa
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume nitakaye mpenda sana

    wengine humu hata kupima hamjapma mm nkmpta yy atakuwa shahidi
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume nitakaye mpenda sana

    acheni majibu ya kunyaa we kama hakija kuhusu pita mimi nina akili timamu na wala co mwehu kama unavyadhani just ni uamuzi wa mtu kuishi maisha anayotaka mimi nina ahadi kuishi na mtu huyo so cwez kuvunja ahadi ww kama unajijua upo nahali hyo nitafute kimykmy
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji mdada wa cofee shop

    npo tayari kabisa naishi kinondon dar es salaam nina wadhamini ndio
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume nitakaye mpenda sana

    kama kuna mkaka anaishi na virusi vya ukimwi au unarafiki yako naomba uni PM tupate kuongea mm naitaji mwanaume aliyeathirika npate kuishi nae hili suala nliloamua mimi ingawa mm cjaathirika nataka kumpa maisha ya mapenzi na asijutie kuwa duniani
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi waungwana.

    inaitwaje
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi waungwana.

    jaman cna utani nina shida na kazi na ndio maana cjaweka mpaka
  15. Z

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi ya kuuza duka la nguo

    asante sana
Back
Top Bottom