Changamoto kubwa ni kukosa mkopo
Kwa sis wa mwka jana waliopata asilimia mia ni wale tu wasio na wazaz wawili
Kama una wazaziwawili jiandae kwa 89% , na hio ni kwa wale waliosoma gvt mwanzo mwenga
Kama st. Mary ilihusika jiandae kupata yyte watakayoamua.
Haijalishi kama MD au la. Jiandas huenda...
Kwa anaekifahamu chuo cha Bagamoyo school of nursing naombeni anisaidie kujua napataje joining instruction. Maana chuo hakina website na nimejaribu kuingia account yangu ya NACTE haifunguki tena
Naombeni msaada wenu mana muda wa kwenda chuo unakaribia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.