Recent content by Zagwa Zatha

  1. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametudhalilisha Sana Watanzania

    Siku ikitokea nchi yoyote imemnyonga Mtanzania na bila serikali yetu kufanya lolote lakuzuia hilo, , ,na Watanzania tutaanza kuchinja mmojamoja kutoka Taifa hilo hadi wote wakimbie hapa Nchini
  2. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala ahoji mamlaka ya Waziri Mwakyembe kuifuta Tanganyika Law Society(TLS)

    Mwakyembe anapaswa kujiuliza Ujerumani alipelekwa kufanya nini pamoja na akina Marehemu Mvungi? Alivyorudi tu akawasaliti wenzake, mimi simshangai. Ni jamii ya watu wasiojielewa inayofanya mambo kwa kufikiri kwa akili ya kitoto kwenye maswala ya kiutu uzima.
  3. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Jamani hii kesi ya Manji, tuseme Polisi nao wanatafuta "Kiki"? Naona kama mazingaombwe vile!
  4. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Huenda waliporudi na baada ya Gwajima kuruhusiwa alipewa madawa yakulevya kwa nguvu ili vipimo visome tena. kamchezo kazuri haka. Kwani mtu ukihojiwa na polisi lazima uugue moyo, hii ikoje?
  5. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Masogange akamatwa kwa tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya

    Mara nyingi hizi ngoma zinaishiaga wakati wa korasi (chorus), kama ilivyoishia ya Faru John, Njaa, shisha, hapa nahesabu beats tu!
  6. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametudhalilisha Sana Watanzania

    Mwaka juzi meli ya Kinana iliripotiwa kukamatwa na meno ya Tembo kutoka Tanzania na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa. Hizi mbwembwe ni kwa sababu hakuna jina la mkubwa wa CCM lililotajwa. wangetajwa akina Makinda, Msekwa au Kinana yote haya yasingetokea.
  7. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametudhalilisha Sana Watanzania

    Huenda Rais amekosa ushauri au Rais hataki ushauri. Ndo taabu tuliyonayo awamu hii ya 5. Mara nyingi huwa nasikia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na a Viongozi wengine kauli zitazo: "Kama alivyosema Rais", "Msimamo wa Mhe Rais wetu" "Natekeleza kauli ya Rais" Na mengineyo mengi! Je, ni rais...
  8. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Magufuli ameletwa na Mungu. Najuta kutompigia kura

    Mazuri yote yanayozungumzwa hayawezi kukidhi haja za watu kama demokrasia haipo na kama watu wanaishi kwa hofu. Mfano ni Libya walikuwa wanalipiwa hadi mahari kwa starehe zako lakini Rule of Law ikakosekana na iliparaganyika
  9. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Mimi najua hawa hawalipwi, wanajitolea tu! ila wana marupurupu tu. Kwani wanalipwa na nani? Malipo ni cash, cheque au through bank deposit? Kama ni bank deposit ni bank gani? Hapo tukifuata hadi tutakutana nayo hiyo mishahara yao.
  10. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Kuna mifano mingi saana. Kwani hawa wa Cina wanaochanganya zege au kuuza mitumba wana vibali vyakufanya kazi hapa Tanzania?
  11. Zagwa Zatha

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Drug Lord, Ayubu Mfaume Kiboko, from inmate in a Hong Kong prison

    Hii ni kama vile unamuambia mtu jiandae ficha ushahidi nakuja kukusingizia kitu Hay mara nyingi hufanywa na wale waliozaliwa kwa bahati mbaya
Back
Top Bottom