Recent content by Zagrab

  1. Z

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Kumbuka ni kiongizi wa wenzake ma Commando 30[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. Z

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Ningewaelewa kama wangeamua kupeleka ma kachero wa polisi kama ndiyo makomandoo maana naamini Mbowe alikuwa hawajui. Na hapo ingekuwa rahisi kufuatilia kila kitu. Sasa mnaruhusu vipi apelekewe makomandoo halisi na ufuatiliaji wa kijinga namna hiyo? Kama siyo michongo ni nn sasa?
  3. Z

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Hivi hawa watu wako serious na mambo ya ugaidi kweli? Kama huyu Luteni alitoa taarifa kwa DCI na wakakubaliana aendelee na utaratibu kama walivyokubaliana na Mbowe basi kazi tunayo. Hao makomando Mbowe alikuwa anawafahamu? Kwa nn wasipeleke polisi wapelelezi wakawa undercover kama ndiyo...
  4. Z

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Yaani hizi mambo zinachekesha sana sometimes. Walikuwa tayari kuumiza watu kirahisi tu. Yaani mtu kapanga makubwa namna hiyo halafu mnampa na watu wa kutekeleza kirahisi tu na ufuatiliaji wa kimaandazi namna hiyo. Hivi kama watu wako serious si wanafanya tukio na kutokomea? Anaulizwa ulifanya...
  5. Z

    Huwezi kuzuia sauti ya UMMA kwa kuzima mitandao

    Yaani kwa hili na mimi kesho naenda kuwapiga chini tu. Hawajui tu kuna watu kesho walikuwa waende kuwapigia kura lakini kwa kitendo cha kuzima mitandao wengine wameghafirika pia kama mimi.
  6. Z

    Msaada juu ya matumizi ya Banggood Ecommerce

    Mtaalam hivi hawa Aliexpress wana mawakala wa kusambaza vitu tunavyoagiza mtandaoni kama kikuu? Maana sisi wa mikoani kikuu wanatufikia kwa urahisi. Vipi kuhusu kodi ya vitu vidogo vidogo kwa upande wa Aliexpress? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Hahaaa. Biashara united. Full kuingiza mapato Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Z

    Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Nanukuu"Nchi hii ni taaajirii tutafanya kwa pesa zetu wenyewe. Watanzania tutembee kifua mbelee. "Mwisho wa kunukuu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe mafi mafi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Z

    Rais Magufuli: Hivi mnadhani nikiondoka madarakani ndege, reli, hospitali zitajengwa? Kwanini huko nyuma hawakufanya haya?

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
  10. Z

    Charles Wilson Mahera, a top CCM agent in the electoral body. Huu mchezo haulisaidii Taifa letu

    Yaan kwa 4-4-2 hii ukisikia mpinzani kashinda basi wameamua kumpa tu kiaina. Vinginevyo hakuna mpinzani atatoboa kwenye uchaguzi.
  11. Z

    Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    Kwa sasa tunakwenda kwa style ya bora liende. But kuna mahala tutatumbukia halafu kujikwamua ndiyo itakuwa taabu. Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Z

    ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Haaaaaa. Da! Hivi kweli eee Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Z

    Trilion 11.7 za mifuko ya hifadhi za Jamii zatumika katika uwekezaji

    Ukisikia balaa ndiyo hili. Ukute na yeye alikuwaga anaimba kale ka wimbo ka acha waisome namba eeee kwa nguvu na kejeli[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
Back
Top Bottom