Recent content by zagalino

  1. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Mkuu naona kama umeruka kipande cha 22
  2. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Yah nilichokuwa nikimaanisha ni kuwa vipande ulivyotuma jana umevirudia kipya ni cha 14 tu nilikuomba kama ingewezekana ungeongezea viwili vitatu
  3. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Tafadhali rejea vizur uzi kuanzia sehemu ya 9 mpaka mwisho alafu ndo uisome txt yangu[emoji120]
  4. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Mkuu uliishia kipande cha 13 kwaiy leo tumeanzia 14 na kuendela maana hiko cha 10 ulikiruka kwaiyo wakati unakiweka ndo kikabahatika kuwa cha mwisho kweny post yako hivyo kama kuna uwezekano endelea endelea kidogo maana hapo tuna kipande kimoja tu
  5. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Ni msemo maarufu tu ndo namm niliamua kuutumia, ila amna nnachojua kuhusu uo ukanda wa gaza[emoji23]
  6. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Mkuu unatusahau sana ukanda wa gaza huku
  7. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Mkuu samahan naona kama umeruka kipande cha 10
  8. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Kivumbi kinaanzaaa huku yaan movie inaanza upyaaa🤌
  9. zagalino

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Kali sana, naheshim sana kazi zako kiongozi. Utukumbuke na huku mkuu safar iendelee
  10. zagalino

    RIWAYA: Black star

    Hii hapa
  11. zagalino

    RIWAYA: Black star

    Alisema mwenyewe nimefanya kukumbuka tu
  12. zagalino

    RIWAYA: Black star

    Kikiisha hiki bado viwili[emoji848]
  13. zagalino

    RIWAYA: Black star

    Haina shida mkuu sijaona sababu ya kuomba msamaha kabisa, sie tumekaa mkao wa kula tunasubir kimalize kutengwa[emoji1786]
  14. zagalino

    RIWAYA: Black star

    Labda alimaanisha ile ya wakat ujao kwamaana hata mwakan ni kesho sema tu inakuwa kesho kubwa kubwa[emoji23]
Back
Top Bottom