Recent content by Zacy-anna

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu amepooza kuanzia kiunoni kushuka miguuni

    Aisee pole ila kuna physiotherapy mzuri pale Apollo Medical Center...ni mzuri anaweza msaidia akarecover mkuu Apollo Medical Center ipo kisutu mkuu karbu na Hindu mandal hosp..I suggest it's better to see him
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    So sad [emoji24][emoji24]..jaribu kwenda kwa watumishi wa Mungu,naamini watakusaidia ndugu
  3. Z

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Bei za bidhaa zazidi kupaa hewani

    Aisee mafuta,sukari ndio havishikiki doooh...Dar mafuta lita ni 7000 sijui ndoo itakua ngapi?[emoji134]
  4. Z

    JamiiForums Tanzania TEMESA Ferry, wekeni viti kwenye jengo jipya la abiria upande wa Kigamboni

    Mkuu,hata vivuko pia sio rafk..yaani unakaa zaidi ya nusu saa na ukija kupanda mv magogoni daaah...hesabu lisaa limoja ndani ya kivuko
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wapendwa kwa mahitaji ya curtains (pazia) na blinds for your office ama kitchen karbuni sana...bei nafuu
Back
Top Bottom