Recent content by Zacky20

  1. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa madini haya

    Okay asante, nayo yanauzwa?
  2. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa madini haya

    Ila huo mzigo upo kilwa
  3. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa madini haya

    Dar
  4. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa madini haya

  5. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa madini haya

  6. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa madini haya

  7. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa wa madini haya

    Wadau habarini za muda huu, naomba mwenye uelewa na madini yafuatayo anipe shule kidogo juu ya aina ya madini, soko lake na bei. Kuna rafiki yangu amepata sehemu yapo lakini hajui yanatumika kwa shughuli gani na bei pia hajui
  8. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Mpira dk 90 tusubr tutaona mwisho wake
  9. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Mwaka 2015 alishindwa ubunge, akaja 2017 uchaguzi EALA akapigwa tena na 2018 atapgwa tena arudi kikwajuni
  10. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Rudia kusoma post usijibu ukiwa na mihemko. Nimesoma ccm inawapga kura wengi kinondoni ikifuatiwa na cuf. Ila kuptia ukawa cuf akapata nguvu ya chadema ndio maana mtulia akashinda lakin bila muungano ule lile jimbo lingeenda ccm.
  11. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Nimezungumzia kigezo cha upiga kura sijazungumzia origality ya mtu. Salum ni mpiga kura wa kikwajuni, ni hivi hata kura zikipgwa leo salum hatajipgia kura maana sio mpga kura wa kinondoni. Rudia kusoma post yangu
  12. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Hahahaha!!! Sasa kwenye huo mtifuano ndio hapo cdm na cuf watagawana kura walizochanga 2015 kama nilivyosema hapo
  13. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Lyatonga aligombea urais wa nchi sio ubunge wa jimbo ndugu
  14. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Nyie wafuasi wa chadema mnafurahisha kweli yan ww unampgia kura mtu usiyemjua?[emoji15]
  15. Zacky20

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Mimi sijawagawa watu mimi ninashangaa mpiga kura wa kikwajuni kuja kugombea kinondoni wakat yeye mwenyewe hana fursa ya kujipgia kura. Kama salumu alikuwa anaitaka kinondoni basi asingekimbilia kikwajuni angejiandikisha hapa hapa dar ili asikose fursa ya kujipgia kura.
Back
Top Bottom