kwanza kaka, kwanini bado upo kwa wazazi alafu mtu mzima kabisa na mke. je mkiata watoto maana naona hamna watoto? cha pili, mke anatabia za kiswahili sana... alafu huyo anapenda kuchat, hawezi kuongea mambo yake uso kwa uso...lazma matext... nina shauri, uwe na kwako kwanza....alafu cheki tabia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.