Recent content by Zack j

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Shukran
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Ok ngoja niwatafute
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Ebu fanya kumtag mtu yoyote unayemjua anauza pikipiki nzuri used
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Chief wapi napata pikipiki used nzuri?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Ok
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Shukran bro kwa ushauri
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Dah! Asante sana kaka kwa ushauri! Ila si naweza nikabahatisha kupata pikipiki used ambayo iko vizuri eti?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Aise umenitisha sana, kuna mahali nilitaka kununua pikipiki used ila nishaanza kuogopa sasa!
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Mkuu kwenye hii excel/sheet kuna column naona umeweka rangi nyekundu, njano na light blue zina maana gani? Japo nimeipenda sana hii inasaidia kuwa na kumbukumbu ya mahesabu
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Asante mkuu, nataka kwa ajiri ya biashara ya bodaboda! Mi sio mtalaam sana ila hizo namba a,b,c ndo sijazielewa, zina impact gani kwenye kazi?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Mkuu kuna mtu kafungua kama kikampuni chake anauza pikipiki used. Kuna TVS ya cc125 anaiuza kwa laki 6 na 80! Kwa utalamu wako hii inaweza kuwa iko safi? Nataka kununua
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Mkuu nikiwa na mil 13 kwa maeneo ya kijijini inatosha kujenga na kuweka vifaa?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Uzi wa kibabe sana huu! Asante sana
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu taratibu na sheria za kuanzisha zahanati

    Jamani mko kimya sana, naomba kujua mtu akiwa na 100mil af akawa hana jengo wala kiwanja anataka kununua kiwanja na ajenge jengo lake mwenyewe la zahanati, hii budget inatosha kufanya hayo yote + ujenzi wa zahanati + ujenzi wa incinerator + kuweka vifaa tiba vyote vinavyohitajika + kuweka...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Mkuu nikiwa na 50 mil naweza kujenga jengo na kuweka vifaa vyote na kuajiri watumishi wachache?
Back
Top Bottom