Recent content by Zacharia Michael

  1. Zacharia Michael

    Msaada: Nimepigiwa simu ya kazi kutoka ITALY

    Jaribu bahati yako ila kuwa makini
  2. Zacharia Michael

    Taarifa kwa wote ambao wanataka kujiunga na Graduate Vikoba

    Tukumbukeni na sisi wa mikoani coz tunaweza kuwa wazuri kuliko hata hao wa dar.
  3. Zacharia Michael

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Hahaa! Hiyo kawaida kwetu watanzania, "Wenyewe tunasema fuata maneno sio matendo!?" Akili ya kuambiwa changanya na yako, sawa mtanzania mwenzangu?
  4. Zacharia Michael

    Kweli elimu ndiyo kila kitu

    "Elimu ndio kila kitu?!" Vipi kwa waliosoma hadi vyuo vikuu lakini hawana kazi? kitu cha msingi ni kumuomba Mungu akupe maarifa ya kuweza kufanya kazi yoyote halali itakayokutoa kimaisha. Kumbuka wapo wengi sana ambao wako juu kimaisha lakini shule hawakwenda. Ushauri wangu hata kama mtu...
  5. Zacharia Michael

    Msaada juu ya kazi za utumishi

    Ni kweli hakuna ulazima wowote, cha msingi wewe fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye tangazo la ajira.
Back
Top Bottom