Habari zenu Mimi pia naomba kazi yyt iwe ya dukani supermarket au kiwandani namba yangu 0657193648 naahid kushirikiana na boss katk utendaji mzuri wa kazi
Mimi Ni kijana wa miaka 22 Ni mwanafunzi wa chuo now nipo likizo ..so maisha kidogo kitaa yanakua magumu msaada wa part time job mahala popote au mwenye ushauri wa biashara au support yoyote naomba anisaidie ...
Namba yangu ya simu n 0657193648 nowdays unaposoma unakutana na changamoto kubwa...
Bro how about wanavyuo wanasoma then unajuaga ratiba za masomo zilivyo huku test mara assignment unafikiri business ipi wanaweza fanya
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.