Mimi mwenyewe ni muhanga wa Hilo nilikopa kwenye moja ya wakopeshaji online nilikua nashida ya haraka sana nilikua shamba kuna rafiki yangu akaniambia kopa online nichap mpkaa mtu upate mtu wakukukopesha haraka muda unaenda nikakopa Sasa nikachelewa kulipa ndani ya zile siku sita kwasababu...
Ndugu wadau kiukweli nibora relli hii kubinafsishwa labda itafanya kazi wiki Ile nyingine sikumbuki tarehe nilienda ofisi za treni Moshi ilikua jumatano nikaikuta treni imepaki nikauliza utaratibu nikajibiwa maeneo kabla ya same maji yamejaa ambayo yanatoka nyumba ya mungu lakini wanafanya...
Kikubwa uzima upo mikono na miguu unayo macho unayo nitume Fanya kazi kwabidii usijitenge na familia waatabaki kuwa Ndugu na familia Yako hata kama ukijitenga haitabadili chochote wewe tafuta vya kwako heshimu familia unachotakiwa kufanya nikufanya kazi kwabidii zilizohalali ardhi haipiganiwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.