Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,329
- 6,922
- Thread starter
- #561
Pole mkuuJulai 2022 nilipata ajali ya pikipiki Taya zote juu na chini zilivunjika, nilizima siku 3 nikiwa nimelazwa Benjamin mkapa Dom. Mpaka Leo nimepona ila sijui Nini kilitokea nakumbuka kweli nilifika eneo la tukio ila kilichotokea nasimuliwa tu. Kule kuzima siku tatu nimekuja kujua kweli aliyekufa hajui chochote hakuna Cha Raha Wala maumivu ni kimya.