Recent content by Yusuph p. Kisunzu

  1. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Msaada Namna Ya Kujaza Fomu Za Maombi Ya Kozi Za Afya Kupitia Nacte!!

    MBONA FOMU INAJIELEZA YENYEWE UKISHAINGIA KWENYE WEBSITE YAO The National Council for Technical Education
  2. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    keterero unapewa cheti kabisa
  3. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Nataka nikasomee Health Records and Information Management

    tunamsaidia aliyetoa shida yake hao wenye shida wanaotaka kusafiria migongo ya watu watatoa shida yao kwingine na sio thread hii.
  4. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Nataka nikasomee Health Records and Information Management

    Kasome tena jitahidi sana posho ni km ya daktar ajira zake zipo na huwezi kuajiriwa vijijini ni kwenye district hospitals(dh) na regional hospitals
  5. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Stashahada za Juu zafutwa

    MKUMBUKE NA hyoo!
  6. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Std 7 - university

    Jamani hao watu kweli walipata vyuo. Kuna anaejua kama lilitekwelezwa kwa hao darasa la saba kupata chuo.
  7. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Je unajiandaa kwa clinical officer au assistant(ingia hapa)

    #Student manual(@module) book zinapatikana kwa email mail) niinbox nikupe tips
  8. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania MaTOKEO VYUO VYA AFYA

    halafu wewe unaokana hata medical field haikufai. Hivi ni mara ngapi swali kama hili limeulizwa? Zikitoka si utajua. Au unataka uambiwe mara ngapi. Kwanza majina yako ulitumia yapi,naona mnaipaka matope wizara tu kila siku.
  9. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania kwa yeyote ambaye ambaye hajajua chuo gn kapangiwa ingia hapa

    S.1660/0085 NA S.1660/0086 zote 2010
  10. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya

    huwa ni 600,400 na wala siyo 604,000 kwa diploma course zote na 550,400 kwa certificate zote ila hyo ni basic bado field 150,000@year. Upo hapo? Hyo ni kwa awamu mbili tu.
  11. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Clinic officer v/s Diploma in Nursing

    umepitiwa ndugu na co anaweza kufanya kaz popote ila amo na ca ni fani zilizopo tanzania tu.
  12. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Ajira katika certficate ya clinical assistant.!

    halafu hatuna certificate in clinical assistant ila tuna certificate in medicine ambayo ndiyo clinical assistant.
  13. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Posts wizara ya afya.

    nimesema km unataka namba nipm nikupe.
  14. Yusuph p. Kisunzu

    JamiiForums Tanzania Posts wizara ya afya.

    Naomba nifafanue thread yangu. Ilikuwa walioko mwaka wa pili na watatu waanze mitihani yao tar 19 mwez huu lakin wamesogezewa mpaka tar 9-23 sept wametuma walaka kila chuo ambapo selection zitafanyika tar 16-28 sept na watatangazwa watakaochaguliwa tar 5-11 octoba. Hiyo ni hakika. Ukitaka...
Back
Top Bottom