Recent content by Yusufu R H Sabura

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Super Sub ya Agrey Mwanri iliyofanywa na CCM itarudisha matumaini ya Wafuasi na wanachama wa CCM?

    Ni matarajio ya watu wote. Mwanri anakubalika na raia wote
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Crdb wamekataa kunibadilishia hela chakavu nielekezeni pa kwenda

    Hebu jaribu Azania Bank...upo maeneo gani nikuelekeze tawi la karibu yako?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Wasomi: Ni makosa kudhani maridhiano yatapatikana kwa vyama vya siasa peke yake

    Link ya PhD Mbunda ipo wapi?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Hata wao walishindwa kuzuia tabasamu lao!

    Mbn nyani ngabu wa Twitter ni tofauti sana na wew😀
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

    Bila namba 4 nisinge elewa uzi
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Maisha ya shule za dini kiislamu

    Unazungumzia shule? Au kitu gani hicho.....hebu itaje tukaitembelee.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole

    Mzee Paschal unaandika Kama kijana wa Generation Z...Ilihali umri umeshasonga...big up sana
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

    Hii sijaelewa...hebu tupe maelezo ya hii
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

    Aaah hapo hutoboi bila kurudi kilingeni mzee
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ni lafudhi gani unaipenda katika makabila ya Tanzania?

    Aaah wachaga wanafanya vizuri sana kwenye game la lafudhi. Tofauti na sisi waha 😄
Back
Top Bottom