Habari wanajamvi!nahitaji msaada wenu kwa anaefahamu bei za bidhaa ambazo hutumika kama nishati ya kuwashia moto badala ya kutumia mafuta ya taa hasa kwenye mkaa huwekwa juu yake kwa kuwashia,nahitaji kuwa msambazaji wa bidhaa hii ila sifahamu wapi inapatikana na bei zake kwa carton..hivyo kwa...
habari wana jf,nimeamua kujikita katika ajira binafsi(ujasiria mali) kama kijana ili kujikwamua kimaisha hivyo naomba msaada wana jf kupata tenda ktk hotel au baa ya kuwauzia mbuzi kwa maeneo ya dsm au kibaha,tayari nimeanza biashara hii kwa baadhi ya sehem!kwa mawasiliano zaidi 0655-655540
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.