ngoma ikilia sana ijiandae kupasuka. Huu ndo mda wa EL kupasuka. Huwez kuwaibia watu aafu kesho ukaanza kutoa sadaka sehemu ya dhuluma ili upewe tena nafas ukadhan mungu hakuoni. Hakuna marefu yasiyo na ncha Fisad na vibaraka wake wajiandae sio tu kushindwa bali kushindwa kwa aibu
Huyu wakimfukuza watamtunzia staha. wasubiri tummwage kwenye uchaguzi tu ili iwe fundo kwa wengine kwamba pesa sio kila kitu kwenye siasa, utahonga wapigakura lakini hautawapigia kura siku ya mwisho. isitoshe huu mda wa vijana bana.
Hamna anayekueleza kitu hapa tunajadili hoja kwa manufaa ya tz tuitakayo lakini mtu akiamua nyekundu ni nyeupe na akafundishwa nyekundu ni nyekundu uamuz wa kubadilika au kutobadilika ni wa kwake. Thanx mleta tuzidi kuwajua watia nia na madhaifu yao
umekariri ndugu yangu makamba sio kama lowasa ambaye kila mda anawewesekea uraisi mpaka yuko tayar hata kuweka rehani familia ili aupate alipe mikopo aliyochukua wakat wa kuanzisha richmond na dowans. 2015 vijana ikulu bila rushwa inawezekana
Ndugu wanajamvi naona leo nishikiriane nanyi kuhusu jambo moja kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, ambapo watia nia wamekuwa na juhudi kubwa sana za kudhihirisha uwezo wao katika kuongoza nchi na kiwango cha uzalendo katika kuthibitisha kujitoa kwao kulitumikia taifa hili linalohitaji mabadiliko...
Aisee mmali uajitambua na unatambua nn taifa linahitaji. vijana tuchange bana na sio tu kukimbilia hv vikongwe kisa vinamwaga hela kama vinazichota baharin. Its our time bana. Ni mda wa vijana wazee labda 2020
Hoja za sijui ni mtoto wa nani, mara baba yake alikuwa flani au alifanya hivi au vile ni za utoto. Familia yako sio ndio mawazo yako wewe. Kwani baba yako kama mlevi lazima na wewe uwe mlevi? Kwa hiyo tunampomtazama january tumtazame yeye kama yeye. THe guy is strong and capable let give him chance
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.