Recent content by yunus jumapili

  1. Y

    AVN (Award Verification Number) 2019

    Kuna watu kweli wanafanya masihara tu kwa kila kitu ivi kweli avn mpaka nikutumie hela, mi nataka tu maelezo sahihi ili nifanikiwe!
  2. Y

    AVN (Award Verification Number) 2019

    Nlihitimu chuo 2013, na wenzangu kwa mwaka jana na mwaka juzi walipata bila shida yoyote.
  3. Y

    Nani amefanikiwa kupata Award Verification number (AVN)kutoka NACTE kwa 2019?

    Member heshima yenu jamani, nahitaji kupata AVN kutoka nacte ila mpaka sasa sijafanikiwa, nimefuata kama wanavyoelekeza katika link yao, naomba kwa aliye fanikiwa kwa mwaka 2019 au mwenye updates anisaidie please
  4. Y

    AVN (Award Verification Number) 2019

    Member heshima yenu jamani, Nahitaji kupata AVN kutoka NACTE ila mpaka sasa sijafanikiwa, nimefuata kama wanavyoelekeza katika link yao, naomba kwa aliye fanikiwa kwa mwaka 2019 au mwenye updates anisaidie please.
  5. Y

    kuhusiana na mikopo

    wadau mimi ni mtumishi nataka kuchukua mkopo, ni benki ipi kwa sasa yenye riba nafuu tanzania?
Back
Top Bottom