Recent content by Yunku Zungu

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya ukokotoaji wa kiinua mgongo

    Wadau mimi nilikuwa naomba ufafanuzi tu wa jinsi kiinua mgongo ukokotolewa naogopa kuzulumiwa haki zangu. Natakiwa kwenda kuhakiki ofisini
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wadau mbona hii miradi inaajili watu kiolelea olelea

    Kuna baadhi ya ajira hazitangazwi kabisa kwenye hii miradi ya reli inayoendelea hapa Tanzania. Ila ukifika pale utaambiwa watu wanachukuliwa kila siku na hapo kuna baadhi ya raia wanashinda takribani mwezi kutafatua kazi pale pale. Utakuta raia wamekaa njee wanapigwa jua vumbi utawaonea huruma...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wasio na ajira, mnawezaje kuishi?

    Ndio kwanza mwezi wakwanza tangu kibarua kiote nyasi. Lakini naisoma namba sasa najiuliza kwa wale waliopanga na hawana ajira yoyte ile wanaezaje kuyamudu maisha?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nimeshachoka mpenzi wangu ana mimba anakera

    Hata kama mnasema ni mimba kunichukia sizani nahisi ni makusudi naanza amini kumbe wanaume wote wanaokimbia wanawake wenye mimba sio makosa yao. Na hivi nahisi uyu mwanamke ananifanyia kusudi baada ya kibarua changu kuuisha ama?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Hi jamiii forum sielewi bado naimba ufafanuzi

    Nashindwa hata kujibu mtu msg zake kila kitu naambiwa pending
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Hi jamiii forum sielewi bado naimba ufafanuzi

    Nashindwa hata kujibu mtu msg zake kila kitu naambiwa pending
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hi jamiii forum sielewi bado naimba ufafanuzi

    Nashindwa hata kujibu mtu msg zake kila kitu naambiwa pending
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kazi yangu imeisha mkatabata na mchumba wangu anamimba

    Kibarua changu kiliisha mkataba na mpenzi wangu ana ujauzito naona ataki ata kuishi na mie tena amerudi kwako, naomba ushauri maana ananiumiza sana kichwa sielewi nifanyaje.
  9. Y

Back
Top Bottom